
Bado Tupo
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Bado Tupo - Azboy Tz
...
ooooh aaaah....Azyboy Ninachopenda una subira , wachache wanaovumilia aah ! Uso wako huna hasira ,kutwa unatabasamm, yani huna kinyongo wala hila ayeh ! Ninachosema wanielewaa, madhaifu umeyapokea yani sikuhishi hamu. Najiulizaaaa, kama si wewe mi angenipenda nani, mama we umeishiwa kuniweza, kutwa nakuwazaaa , umentoa hofu na umeniweka moyoni, mama we umenila na kusazaa . Oo naa, ndoto ndani shikidi shikide, nafunga kibwebwa nayarudi sikinde, kama uwarabuni na haluwa na tende, yani ananipa vitu vitamu nisikonde. Wowo wowo wowo wowooh, bado tupo tupo mi nae .....Bado tupo tupo mi nae ..... Bado tupo tupo mi nae, wenye vijiba vya roho nyuso di wamekunja , Bado tupo tupo mi nae (bado nipo nae eeeh) ......mmh Ananishangaza jamani eeh! Ananipa mambo mageni eeh! Hili penzi mwanaukome , kanisusa nishindwe mie ehe! Aya ni mapenzi ama ni maajabu, nimeshazama mwenzenu nimekolea , wala si utani iki ni kina kirefu, ata malaika hawezi kuniokoa. Kilichobaki uvae shela na mimi ni tinge suti na tai, tuwaumize wanaotukera watuone vile tunavyojidai, Toto ndani yani shikidi shikide nafunga kibwebwa nayarudi sikinde kama uwarabuni na haluwa na tende yani ananipa vitu vitamu nisikonde ee, Wowo wowo wowo wowooh , bado tupo tupo mi nae, na tena naongeza viudambwi lizidi kukolea ,bado tupo tupo mi nae , kani ganda ganga mtoto ruba huyu uh (Bado tupo tupo mi nae ) aaah yetu penzi kamili kado (Bado tupo tupo mi nae ) .....
Similar Songs
More from Azboy Tz
Listen to Azboy Tz Bado Tupo MP3 song. Bado Tupo song from album Bado Tupo is released in 2023. The duration of song is 00:03:02. The song is sung by Azboy Tz.
Related Tags: Bado Tupo, Bado Tupo song, Bado Tupo MP3 song, Bado Tupo MP3, download Bado Tupo song, Bado Tupo song, Bado Tupo Bado Tupo song, Bado Tupo song by Azboy Tz, Bado Tupo song download, download Bado Tupo MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Rechel li29v
Ceceqrkca
❤️
Nakukubali sana yan