![Unyama Freestyle](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/18/7bc8f493763c4e588e3495eb7c6fd66c_464_464.jpg)
Unyama Freestyle
- Genre:Trap
- Year of Release:2022
Lyrics
Unyama Freestyle - DWiN
...
Sikuhizi mchawi ni pesa mwanangu Mbwa koko hazibweki mwanangu Natafuta pesa nipate tu mtoto ambaye yupo tayari kumeza wanangu Ishu pesa mwanangu Nishike nanesa mwanangu Mama akipiga anasema huko mjini tahadhari usisahaugi kusali mwanangu Amen Mama Huku mjini vishawishi vingi niombe nisipote Wengi wanasema am the shit but i really don't let that shit go to my head Walikuwa wapi kipindi nasaka hata bati Nikale today Wanapiga simu wanasema huko juu sana fanya kama unapunguza beii Ahh wait what fuck it i need me a million Pesa tu ndogo ya maji watoto wa mjini wasahau wako period Nimetoka mbali njiani vikwazo kibao kamwe nyuma sirudii Wapo waliozani hatufiki kokote ila sasa wakituona wanajua wamebugi And i got the city on my back Kila hatua dua nyuma mi sibaki Hawajui nilipo kuwa that's a fact Afu kila nikitua mi naua ka staki Waambie tushawajua niggaz act So ikabidi tu niiandike kwenye track Waambie hii kitu mi siachi Mpaka posho city dom city ifike kwenye map Nani atabisha Maana am getting this money mwanangu Na nani atabisha yeah One way or another mwanangu na nani atabisha yeah Getting this shssh nani atabisha Sa Nani anabisha Maana nishakaaga na wamba kibao alafu mi ndo nikawika The is boy is a reaper She ask me if i was just coming I told her i couldn't have come any quicker Ninavo andika Ova peni imevunjika wino unamwagika Wana kibao nishawaona hawana msimamo Cheki vichwa wanavyoshikwa But i gat a plan hommie I need me a plane hommie B'Cause the boy is too fly sina muda ngai B'Cause i married the game hommie They really gatta know my name hommie So natafuta njia Maana kitambo nilijua kutumia kichwa mwanangu sifati mikia B'cause Am on the move Paid all my dues Ahadi sivunji i break all the rules Nawaza sh ngapi nitaipata wapi Saa ngapi Coz i have got nothin to lose Everytime that i do this a rapper is dead Its true what i said miili nitaiweka wapi so booth sikuhizi nikitimba mwanangu inabidi nizame nimevaa bag.
Similar Songs
More from Dwin
Listen to Dwin Unyama Freestyle MP3 song. Unyama Freestyle song from album Unyama Freestyle is released in 2022. The duration of song is 00:02:47. The song is sung by Dwin.
Related Tags: Unyama Freestyle, Unyama Freestyle song, Unyama Freestyle MP3 song, Unyama Freestyle MP3, download Unyama Freestyle song, Unyama Freestyle song, Unyama Freestyle Unyama Freestyle song, Unyama Freestyle song by Dwin, Unyama Freestyle song download, download Unyama Freestyle MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
zisko chata
craig Michaelgkqgp
[0x1f636][0x1f636]hatarii
benny_magodoro
alooooo ataaar. akuna wakubisha[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
Chris Aivan 1999
Dwiiiiiniiii[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
la aaa a a AA aA a Aa aaA a aaAAAAA A AA A A AA A ASAa a A A aa a aaa A a