- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
AYEE - Paul Clement
...
Nisingeweza bila wewe Yesu,sitaweza bila wewe Yesu.Uko nyuma nisingiweza wewe bila wewe Yesu uko mbele sitaweza bila wewe Yesu.
nisingiweza bila wewe
Nisingeweza bila wewe Yesu,
sitaweza bila wewe
sitaweza bila wewe Yesu.
nisingiweza bila wewe Yesu uuuh
nisingiweza bila wewe Yesu.
sitaweza bila wewe eeeeh
sitaweza bila wewe Yesu.
nisingevuka bila wewe Yesu
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement AYEE MP3 song. AYEE song from album AYEE is released in 2022. The duration of song is 00:04:26. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: AYEE, AYEE song, AYEE MP3 song, AYEE MP3, download AYEE song, AYEE song, AYEE AYEE song, AYEE song by Paul Clement, AYEE song download, download AYEE MP3 song
Comments (19)
New Comments(19)
erick Kisendi Benjamin zb1e8
toshabvjt7
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
Enock Jackson.
umefanyika daraja langu ...✍️✍️
angalikianadieumercianga
https://youtu.be/GGgF7fMnALM
OtaruRosemary
Kuna mahali nimefika wanadamu walizani sitafika kulingana na hali ya maisha yangu But Mungu nilienda na wewe. Najua nisingeenda bila wewe. Hata ile Operation Ya 2022 June nisingetoka Theatre bila wewe Yesu. Hata bills zote za 2022 nisingelipa bila wewe Yesu , hata 2023 sitaweza bila wewe Yesu. Nakupenda Yesu naomba uwe na daraja langu na kwa wengine wanaokuamini pia Mtunze Mtumishi wako Paul Clement
yonathandtbx3
nice song atuwezi bila yesu[0x1f60b][0x1f636][0x1f60e][0x1f627][0x1f612]
Aloyce Khamis
siwez bila ww
KATESI Komtonzi
Mungu akufanikishe zaid...tunabarikiwa na nyimbo zako kaka
Lucydj53w
Amen Amen Amen
augustino banga
amen kakaa
Timothymx0wf
Nisingeweza bila wewe Yesu[0x1f60e][0x1f60e]
Paschalaqaus
Nisingeweza na sitaweza bila YESU Yesu Daraja langu Hallelujah [0x1f607][0x1f607][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
umefanyika daraja langu