Nitoke Vipi?
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitoke Vipi? - Bwana Misosi
...
yeah man Majani , yes wote wanaojitahidi , condemn wote wasiopenda maendeleo,
Misosi ntokevipi nafanya tathmini ya ndani staki ulimbukeni nataka kuuza dukani hawa ni baadhi waliopanda chart nchini na huu ni upeo wangu tu ntoke namna gani , nasema upeo wangu ntoke namna gani
Enzi zile nigga jay alikuja na chemshabongo cheo kapanda professor jay anamake bingo
misosi ntoke vipi sasa nitoke na dongo?, afande mkuki moyoni morogoro ukamuingia , na msanii matola marehemu wanamlilia
Similar Songs
More from Bwana Misosi
Listen to Bwana Misosi Nitoke Vipi? MP3 song. Nitoke Vipi? song from album Nitoke Vipi? is released in 2022. The duration of song is 00:04:15. The song is sung by Bwana Misosi.
Related Tags: Nitoke Vipi?, Nitoke Vipi? song, Nitoke Vipi? MP3 song, Nitoke Vipi? MP3, download Nitoke Vipi? song, Nitoke Vipi? song, Nitoke Vipi? Nitoke Vipi? song, Nitoke Vipi? song by Bwana Misosi, Nitoke Vipi? song download, download Nitoke Vipi? MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
CashManey music band
Kitambo iz kaz kaz