
Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize - Mwanafa
...
Hela sio matako kwamba kila mtu anazo
Zilipo mwanangu usilete mchezo
Kuwaza hela hakuna kwenda likizo
Asa wenzangu na mimi ambao atukuzaliwa nazo
Eti hazileti furaha ukiwasiliza shauri yako
So swala la mjadara hii ndo iwe ramani yako
Eeh pambana ziwe zako pigana mwana mpka uchange jina lako
Tonatolea sadaka,sadaka tunazopata
Lana zinatuhepuka dua mbaya zinaturuka
Ata ufaham kwa nini wananiita baba
see lyrics >>Similar Songs
More from MwanaFA
Listen to MwanaFA Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize MP3 song. Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song from album Sio Kwa Ubaya is released in 2022. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by MwanaFA.
Related Tags: Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize MP3 song, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize MP3, download Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song, Sio Kwa Ubaya Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song by MwanaFA, Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize song download, download Sio Kwa Ubaya ft. Harmonize MP3 song
Comments (286)
Top Comments (10)
Togolamama9
chadi boy 4545
‘’mi sina time ya kupoteza ngoma ya mtu siwezi cheza so usiponiona usiulize jua tu nipo bize nazichanga si kwa ubaya’’ mwamba kaua sana umu ndani embu tumpe like zake ap>
£Ã~Yonna_Tz
Naomba like wapendwa kwa wale wote wanao mkubali MWANA FA na HARMONISE>
New Comments(286)
Young matola26
Oy ngoma kali duuu
RIMTECHSOLUTIONS
hasa wenzangu ambao hatujazaliwa nazo[0x1f642]
said umurufhhlq
[0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f630]
said umurufhhlq
fire
dullah d²
nakutakia ufike mwaka mpya ukiwa mzma wa afya [0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
dullah d²
nakutakia ufike mwaka mpya ukiwa mzma wa afya
nerei kessy
huu mzigo mkali asee
Abdillahi Suleiman3n8cs
[0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636] I have to do my job is to be there for sure I have a few minutes to talk about it tomorrow and see if I can get it done before then if that's ok for you guys to fast forward to seeing you tomorrow morning
mumewangu ni mtanzania but ameniowa uko congo DRC

kelvin magola
mzee wa kukooa yauya[0x1f605][0x1f605][0x1f605][0x1f602][0x1f602][0x1f602][0x1f602]
Salim salehe gcibq
nomaaaaa Sanaaaaa mwana FA ft konde boy
155469352
fire
Hela sio mataka kwamba kila mtu anazo [0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f641][0x1f641]>