
Tanzania (feat. Icekay)
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tanzania (feat. Icekay) - Green6ix
...
'WHY ALL EYES ON ME PAC. Kutoka bongo dsm tz ya Julius Park Aaanhha...aaaanhha!! Hakuna matata!!! Uzalendo ndio haswa Mimi nani ujue nani Tanzania eeee.. Napendeza navyocheza navutia eeee.. Mwanamke kinara ujue nani mama Samia eee.. Uliza wewe utaambiwa eee.. Yeye ndio malkia wa nguvu Kazi iendelee ukiwa huru acha vurugu Wajibu uendelee Busara iendelee Hapa kazi kazi kwanza uchumi wangu niutetee Taifa langu Tanzania Najivunia Tunaishi kwa amani uhuru najivunia My dear sikia habari njema nakwambia Karafuu marashi pemba zenji pia inanukia Nikifanya wewe utasikia Tanzania mia kwa mia Visiwani mpaka bara napendeza aminia Karibuni Tanzania ni nyumbani Mtaipenda nchi yetu inaamani Mtaipenda ilivyoo Misitu mbuga na mito Tunajivunia upendo na amani Wafugaji wakulima mashambani Mtaipenda ilivyoo Misitu mbuga na mito oohh! oohh!! Mtaipenda ilivyoo Kuna mengi ya ajabu Ya ajabu Tanzania Histori kwa vitabu Kuihusu Tanzania Inakwenda kistarabu taratibu inavutia Uzalendo ndio sababu unaonifanya niwe na nia Sikiaa!! Nyota njema, kukicha imeshajiri Alfajiri na mapema kilele cha mlima kili Moshi kilimanjaro Afrika Simba wa nyika Tanganyika nipo Afrika Ngorongoro nasikika Mikumi serengeti Selou manyara Bandari salama mtwara tanga Tanza yenye Tanzanite yetu najigamba Tuendeleze mapambano kama vita tushajipanga Karibuni Tanzania ni nyumbani Mtaipenda nchi yetu inaamani Mtaipenda ilivyoo Misitu mbuga na mito Tunajivunia upendo na amani Wafugaji wakulima mashambani Mtaipenda ilivyoo Misitu mbuga na mito oohh! oohh!! Mtaipenda ilivyoo......
Similar Songs
Listen to Green6ix Tanzania (feat. Icekay) MP3 song. Tanzania (feat. Icekay) song from album Tanzania (feat. Icekay) is released in 2022. The duration of song is 00:03:24. The song is sung by Green6ix.
Related Tags: Tanzania (feat. Icekay), Tanzania (feat. Icekay) song, Tanzania (feat. Icekay) MP3 song, Tanzania (feat. Icekay) MP3, download Tanzania (feat. Icekay) song, Tanzania (feat. Icekay) song, Tanzania (feat. Icekay) Tanzania (feat. Icekay) song, Tanzania (feat. Icekay) song by Green6ix, Tanzania (feat. Icekay) song download, download Tanzania (feat. Icekay) MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
icekay_tz
fagaMe
WELCOME TO TANZANIA @Tanzania
KARIBUNI TANZANIA