- Genre:Pop
- Year of Release:2020
Lyrics
VERSE 1
Nimekaa chini Nawaza ni kwanini,
Maandiko yapo lakini itifaki haizingatiwi.
Ukipita msikitini hata kanisani,
ni kama kutinga suti na kiatu bila kiwi.
Watu wanasifu na kuabudu vilivyo,
lakini wengi wao hao ndio waliwamo.
Kelele kelele kuwanyooshea vidole wenzao, kwa makosa makubwa wayatendayo wao.
Nimekuja Gundua tatizo hapa ni Lugha,
ni kama kuzungumza kichaga na Msukuma.
Hawaijui kweli, wanatumia Hisia,
see lyrics >>Similar Songs
More from nYt Music
Listen to nYt Music Neno MP3 song. Neno song from album Greater than the Temple is released in 2020. The duration of song is 00:03:42. The song is sung by nYt Music.
Related Tags: Neno, Neno song, Neno MP3 song, Neno MP3, download Neno song, Neno song, Greater than the Temple Neno song, Neno song by nYt Music, Neno song download, download Neno MP3 song