Nashukuru
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nashukuru - Mercylinah
...
umenipa uhai Baba nafasi nyingi ya siku mpya Baba nashukuru umeniponya roho na mwili tabibu wa ajaabu wewe yesu Baba nashukuru umeondoa laana Baba kabadilisha kuwa baraka Baba nashukuru kilio changu ewe Yesu kabadilisha kuwa furaha Baba nashukuru chorus Kwa Moyo wangu wote nasema Asante kwako Masia nashukuru (times2) nilivyokuwa mnyonge Baba umekuwa nguvu yangu Baba nashukuru nayo mishale ya yule mwovu haijanipata umenilinda Baba nashukuru umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imaara Baba nashukuru umenitoa kwenye shimo la Giza kanileta kwenye mwanga Baba nashukuru Repeat chorus times 2 Yale yote umetenda ni mengi mno na ya ajaabu sijui Mimi nisemeje... Yale Yawe umenitendea ni mengi mno na ya ajaabu sijui Mimi nisemeje sijui Mimi nisemeje...eeeeeh repeat chorus times 2 masia nashukuru times 4
Similar Songs
More from Mercylinah
Listen to Mercylinah Nashukuru MP3 song. Nashukuru song from album Nashukuru is released in 2022. The duration of song is 00:05:36. The song is sung by Mercylinah.
Related Tags: Nashukuru, Nashukuru song, Nashukuru MP3 song, Nashukuru MP3, download Nashukuru song, Nashukuru song, Nashukuru Nashukuru song, Nashukuru song by Mercylinah, Nashukuru song download, download Nashukuru MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
samwabito
Cecilia Dali
God am grateful for everything [0x1f60e][0x1f60e]
Dynah Gachanjab7l90
Umenipa uhai Baba Nafasi nyingine ya siku mpya, Baba nashukuru Umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu ewe Yesu, Baba nashukuru Umeondoa laana Baba, Kabadilisha kuwa baraka, Baba nashukuru Kilio changu ewe Yesu Kabadilisha kuwa furaha Baba nashukuru Kwa moyo wangu wote Nasema ahsante Kwako Messiah nashukuru Nilipokuwa mnyonge Baba Umekuwa nguvu yangu,Baba nashukuru Nayo mishale ya yule mwovu Haijanipata Umenilinda, Baba nashukuru Umeniongoza Mwokozi wangu Kanisimamisha imara, Baba nashukuru Umenitoa kwenye shimo la giza kanileta kwenye mwanga, Baba nashukuru Kwa moyo wangu wote Nasema ahsante Kwako Messiah nashukuru Yale yote umetenda Ni mengi mno na ya ajabu Sijui mimi nisemeje? Yale Yahweh Umenitendea Ni mengi mno na ya ajabu Sijui mimi nisemeje? Sijui mimi nisemeje? eeh Kwa moyo wangu wote Nasema ahsante Kwako Messiah nashukuru
Mshikadau_001
Timeless classic!
brian nyawadecchn2
This is my song to start the day ,everyday !! love it sooomuch...Thank God the father for each new day He wakes us up.
Anita sly
beautiful song
what a beautiful song !