Better Go
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Better Go - Kaka B
...
Kaka Bizze Petrooz wasup Eeh, umenifika kwenye koo, mtoto wee unaponita me nasema noo, staki more Nataka tu kusaka dooo, usiniboh, na izo simu unazopiga so, BETTER GOOOOH Tembeza pole pole kabla nikupige block ama nipe moja reason mbona ukanipiga shock Kila morning bizze me natoa lock mpaka maji najikuta nakata kata na fork Ama ni mimi ndo nilipenda na liver kumbuka uliketi kwangu hadi ukaivaaa Afu pozi ukanzapiga za kidivaaa Ukasahau deti za kuku na njivaaa Maumivu umenifanya me receiver, nashindwa, kupenda bora sasa tu nigive up Ulingoja wakati wa mvua ndo ukaishiaa, ukakimbia, kaniacha pale pale me na bia Staki kwona tena lemmie be, unachotaka toka kwangu nini mchizi B nimetupa hisia zangu zote kwenye bin, hivi sasa utanifata fata mapaka lini, Yeaaa Huyo sponsor alokutwaa, ulidhani atakufaa Ama amekupiga na butwaaa ndo sababu unanisaka saka kaka kila saa Me siwezi ata kupenda kata kata nakataa Umenifika kwenye koo mtoto wee unaponita me nasema noo staki more Nataka tu kusaka dooo usiniboh na izo simu unazopiga so BETTER GOOOOH Yule mzee, alokupa hilo ndinga mpe hi Me nachoma miti hapa niko high Nashkuru Mungu bado niko hai,ulidhani ukinimwaga mchizi bizze nita die oh my Uliniona me sifai, ukafata mwenye tai Ukaniacha bila bye, ati ndai siwezi bai Sasa unanifata fata mbona unanidai Wakati niko bize mishe me napata chai kinyago mbona unieke kwenye mixx Sina muda kupenda niache 'nfate gigs Nimelenga simu zako forty six ila bado unanikol, unataka ufanya tricks, Usinighasi Na hilo penzi lako mwendo kasi, me si mfasi nimeshatupa mbali kama kamasi Nimekula tabu zako mpaka basi nameamua tu kutoka nduki vumbi la farasi Mapenzi ka kitanzandimi kaka nimetii Siwezi kabisa tena kwongeza izo bidii Nimeshavunjilia mbali wedding committee nakwomba uende zako umechanganya Coca kwenye tea Umenifika kwenye koo mtoto wee unaponita me nasema noo staki more Nataka tu kusaka dooo usiniboh na izo simu unazopiga so BETTER GO
Similar Songs
More from Kaka B
Listen to Kaka B Better Go MP3 song. Better Go song from album Mtemi B is released in 2022. The duration of song is 00:03:02. The song is sung by Kaka B.
Related Tags: Better Go, Better Go song, Better Go MP3 song, Better Go MP3, download Better Go song, Better Go song, Mtemi B Better Go song, Better Go song by Kaka B, Better Go song download, download Better Go MP3 song