- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
VIJITO - Frida Rottson
...
Nipande nipande kwenye vijito vya maji nifurike baraka x 3
Walau kama ungenipanulia mipaka yangu niwe na nafasi nitoke jalalani
Tena unineemeshe kwa nguvu na vipawa hata wakiniona waseme ni Mungu tu
Wala si kwa nguvu wala mamlaka ila ni kwa wewe unitiae nguvu
Tena sishangai kuitwa mtumwa maana nguvu zote unamiliki wewe
Nakubali nishuke chini ili we peke uwe juu maana ukiinuliwa utaniinua na mimi
Kama ayala kama somolo nilaze kando ya majani mabichi nifurike baraka
Kama ayala kama somolo nilaze kando ya majani mabichi nifurike baraka
Nipande nipande kwenye vijito vya maji nifurike baraka x3
Ninashurutishwa na roho huku natamani kule kule kuvuviwa na weee naio naiona nuru
see lyrics >>Similar Songs
More from Frida Rottson
Listen to Frida Rottson VIJITO MP3 song. VIJITO song from album VIJITO is released in 2022. The duration of song is 00:04:14. The song is sung by Frida Rottson.
Related Tags: VIJITO, VIJITO song, VIJITO MP3 song, VIJITO MP3, download VIJITO song, VIJITO song, VIJITO VIJITO song, VIJITO song by Frida Rottson, VIJITO song download, download VIJITO MP3 song