- Genre:Afropop
- Year of Release:2016
Lyrics
Koona - Arrow Bwoy
...
weeh!!!!onananaoanaaaa Unapendeza kisura, una tabia mzuri umeumbika baby Nikiwa nawe nimefika(nimefika) Walai sitamani, kuwa fisi kama mswati, my heart will always be with you Baby only you Coz everytime i come home, I feel I'm in paradise You my queen in my kingdom, the way you treat me nice Baby everytime I come home, I feel I'm in paradise
Nikupende na kesho(Koona)
You my queen in my kingdom, ntakupenda adi mwisho wa calendar
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna Acha nikupende leo(Koona) Nikupende na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona) Na nikupende leo(Koona) Nikupende na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona)
Ushikapo shikamana
Kurandaranda haina maana Kwa kila mafanikio yote ya mwanaume, nyuma kuna mke bora Ninavuna nilichopanda Legea legea utavuna (?) Ni mara ngapi nimekosea, na hukuvunja ndoa So let me take you out tonight, sema unachotaka baby Mapenzi yetu iwe tight And like the sun you shine so bright Unanipa tabasamu daily (?) You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna Acha nikupende leo(Koona) Nikupende na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona) Na nikupende leo(Koona) Nikupende na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona) Acha nikupende leo(Koona) NikupendNtakupenda adi mwisho wa calendar(Koonae na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona) Na nikupende leo(Koona) Nikupende na kesho(Koona) Mapenzi yetu ya vitendo
Similar Songs
More from Arrow Bwoy
Listen to Arrow Bwoy Koona MP3 song. Koona song from album Koona is released in 2016. The duration of song is 00:03:44. The song is sung by Arrow Bwoy.
Related Tags: Koona, Koona song, Koona MP3 song, Koona MP3, download Koona song, Koona song, Koona Koona song, Koona song by Arrow Bwoy, Koona song download, download Koona MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Mary njeh
Bran_don
fv f & h - t .6' v g tv g g g g g b h h vt
Jackson Amwayibccl3
nice one
Irene Sarah
nice music... nice vibe arrow bwoy... nice lyrics... keep it up
kigen jemmu
i really love this song
Vicky M Young
When was this song released .I have just realized now OMG. It's a dope song big up arrow bwouy
Sulley Manaa3nd
top music
nyosa Mux
very so nice day for a week
Stephanieabee2
koona[0x1f607][0x1f607][0x1f607]
Gilbert Kiema
its on fire ...koona
NICK.
enzini
aki this song babe[0x1f641][0x1f641]