Focus: Aslay
Focus: Aslay (9)
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
You May Also Like
Suggested Artists
Focus: Aslay
Comments (12)
New Comments(12)
sagumo geofrey
Brian_Tesha28
Kuimba mziki ulianza mwaka gani
EvanceAkyoo
ni kwa asilimia ngapi marafiki zako wamekusaidia katika kukua kwako katika mziki?
__MSUKUMA
Ndugu yangu ni kwa kiasi gani mzazi mwenzako aliathiri muziki wako ?
sagumo geofrey
ni vitu gani unamisi unakumbuka ambavyo ulikuwa unafanya kabla aujawa maarufu (star) ambavyo vitu hivyi uwezi kufanya baada ya kuwa star maarufu ??
Denis Msigwa
1. Ni ndoto gani ulishaanza kuziwaza toka ukiwa mdogo na hadi sasa umeshazitimiza? 2. Mara baada yakuingia kwenye indusrtry ya mziki ilipopita miaka miwili upo kwenye industry ya mziki ulishawahi waza kuwa aslay atafikia ns kuwa kama alivyokuwa sasa 2023? 3. Kwenye mafanikio na changamoto zipo, nichangamoto gani ulizipitia wakati unaingia kwenye industry ya mziki na ukikumbuka huwa zinakuongezea nguvu kuendelea kujituma zaidi? 4. Ni changamoto gani unakutana nazo unapopata kazi zako zakimziki nje ya tanzania na ndani ya tanzania? 5. Ule wakati unajitafuta huku na kule ili uweze kupata sehemu yakuanzia, ni msanii gani ulikuwa unampenda sana, anakuvutia sana kwenye industury ya mziki kwa kazi zake za mziki? 6. Naamini unawazazi waliokubariki nakukupa majina ya cheti, Je, mpo watoto wangapi kwa wazazi? na niwatoto wangapi wameingia kwenye industry ya mziki? 7. Ni upi ushauri wako kaka mkubwa kwa Underground/Upcoming Artist wa 2023/2024? 8. NI MWANAMKE YUPI UNAMTUNUKU NAFASI NAMBA MOJA(1) AWE MWANAMKE BORA, WA HESHIMA NA HEKIMA?
Frankysam
aslay unampango gani kuanza kuwekeza kimataifa zaidi ?? mfano kufanya kazi na maproducer kutoka mataifa mengine, kufanya kazi na wasanii kutoka mataifa mengine mfano Nigeria au ghana ??
Rosemary Minjaj
1.What's your favourite between performing with a live band or performing with a recorded music? 2. What was the most stressful situation u have faced? 3.What one thing would u like to tell u'r fans? 4.How do u describe yourself in 3 words? 5.What's one accomplishment you're most proud of? 6.What's the first thing you do when you get an idea for a song? 7.What song took u the least amount of time to write & which one took u the longest? 8.If you were not a singer what would you be doing? 9. What's one habit u wish you could break? 10. What advice would you give to anyone who wants to become a singer?
Nasry jr
indeed I was going through it and the 9people thing was the first to be able with their families in the world in which it is a very different day and the world and in a very good place to get it done and stamina group and other cities in
Dotto Seleman
good good good good good good good good good good good good good good good good
Dotto Seleman
good good good good good good good good good good good good good good good good
Brune wesydduav
good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good good
Ni kitu gani kilikufanya ukaupenda mziki na ukaanza kuufanya na Nani alikuinspire kuufanya mziki na je Una mchango gani kwa alikuinspire?