
Nimebarikiwa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Swahili
verse 1
"nipo darajani daraja la maisha kule ng'ambo ni nchi ya ahadi , huku nilipo , nahitaji neema , kuchaguliwa si hiari yangu ".
bridge
"ila Mungu wa baraka Amenibariki , kati yao aliowachagua yeye nami nimo".
Chorus :
" Nimebarikiwa kati yao , waliochaguliwa naye Mungu"
verse 2
" furaha yangu imezidi Maneno , Baraka zako zimeziba mashimo , yaliyotegwa na adui ili nizame , na ndani yangu kumejawa na neno lako Bwana , ambalo ni hazina za baraka zangu , Bwana ninasema asante , Asante , Maana bila baraka zako ni bure , mimi bila baraka zako siwezi jambo lolote".
Bridge
Ila Mungu wa baraka , Amenibariki kati yao aliowachagua yeye nami Nimo
Chorus
Nimebarikiwa kati yao waliochaguliwa naye Mungu
transition
" kwa baraka zake nitavuka ng'ambo , (nitavuka ng'ambo) ,(nitavuka ng'ambo) , maana mimi pia.
.