Kiki za Insta Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Kukicha drama za instagram
leo Gwajima kesho kwa Menina
Ukiachia dongo unaibuka mazima aeh
wanangu wa bongo twashuka Milima
sa yanini eh una-lose control
toka chini fungua macho
usipigwe pin yaani insta kiboko
Ma-king Ma-queen wanacheck masoko
Insta ni mfano wa mafuta ya utuli ukigusa yameganda
ukishainasa kutoka ni stori kidole na chanda
sijui kwa nini inapenda ufahari hata atumie masikini
utajipinda mchana jua kali ukavimbe jamani eeh
instagram kiki za insta gram
instagram wengine wanagongea hawana bando
mara nani kadanga hizo kiki ushamba
Wanavimbaga kutwa makiki
wakishataga uso haufichiki
ushachana khanga wahui hawakwepeshi
mara zina-trend zaidi ya kipochi (asii}
mara zigzag dingi kafuymwa na danga
karudisha chaga Jaku kamwaga manyanga
yaani vanga vanga konde klakanyaga Mamba eeh
Rijali kawa shoga hadi kidari kawataja
insta ni mfano wa mafuta ya uturi ukigusa yameganda
ukishainasa kutoka ni stori kidole na chanda
sijui kwa nini inapenda ufahari hata atumie masikini
utajipinda mchana jua kali ukavimbe jamani eeh
Instagram kiki za instagram
Instagram wengine wanagongea hawana bando
mara nani kadanga
hizo kiki ushamba