![Wambea Nao](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/17/60847d48deb54dba8e90ad900e29f289_464_464.jpg)
Wambea Nao Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
Lyrics
Wambea Nao - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
ee Bwana wangu u-nichunguze mimi (maana)
maana wajua na kuketi kwangu (ume, ume...?)
umenichunguza kutokea mbali
umepepeta kutembea kwangu
ee Bwana wangu u-nichunguze mimi
maana wajua na kuketi kwangu
umenichunguza kutokea mbali
umepepeta kutembea kwangu
ihh!
nipate kujua siku ya kujiliwa kwangu
pale utakaposhuka mlima Mizeituni
ili kuwakusanya mataifa yote
pale utakaposhuka mlima Mizeituni
ili kuwakusanya mataifa yote
kwenye bonde lile...
kwenye bonde la Har-magedoni
kwa ajili ya vita
kwenye bonde la Har-magedoni
kwa ajili ya vita
lyric sync by Phellow 254790511905
ndipo wata-sononeneka
watakwenda
huku na huko
watakimbia
huku na kule
wakisema hakika tumechelewa
lyric sync by Phellow 254790511905
nakupa shauri leo
rekebisha mambo yako sasa aaah
itakuwaje akija
Yesu aliyeinuliwa
pale msalabani juu wewe-eeeh
upate kupona
nakupa shauri leo
rekebisha mambo yako sasa
itakuwaje akija
Yesu aliinuliwa
pale msalabani juu wewe-eeeh
upate kupona
itakuwaje akija aaah aaah
itakuwaje akija
Mwana wa Adamu yule
na jeshi la malaika
kuhukumu dunia
mbingu zitaondolewa
mbingu zitaondolewa
mbingu zitakusanyika kama karatasi
bahari itatoweka....jamani
jua litatiwa giza
itakuwa hekaheka....wengine
wengine watakimbilia
chini ya miamba ile
huko na huko
ili wapatejificha
miamba itakimbia
wachawi nao
wachawi nao watabeba
miili na nyama za watu
ndicho kielelezo
machoni pa dunia
wazee wapenda ndogondogo (siku ile)
wataona haya...ah
vitoto vitakapotoa ushahidi kwa Mwokozi
ndipo machangudoa
watahangaika
kutafuta nguo ndefu kusitiri miili yao
wanawake washirikina
jamani washirikina
mikono itawaka moto
sababu ya kubeba limbwata
kuroga waume zao
wambea nao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea nao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea nao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
lyric sync by Phellow 254790511905
Ndipo Simba wa Yuda
atakaposimama
atawabagua kama
kondoo na mbuzi
wateule njoni
ingia uzimani
Ndipo Simba wa Yuda
Yesu mwana wa Mungu
atakaposimama
atawabagua kama
kondoo na mbuzi
wateule njoni
ingia uzimani
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
wachawi wote nendeni
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
machangudoa nendeni
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
wavuta bangi kwaheri
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
machangudoa kule kule
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
wambea wote nendeni
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
majambazi wote kwenda kwenda
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
washirikina nendeni
wenye dhambi nendeni
kwenye ziwa la moto
tokeni kwangu siwajui
wenye dhambi nendeni
atasema Mwana wa Mungu
kwenye ziwa la moto
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
lyric sync by Phellow 254790511905
wambea hao
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
wambea hao jamani
watatafuta sindano
washone midomo yao
lakini wamechelewa
Thanks for Coming