![Take It Slow ft. Jaguar](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/3E/3F/rBEeMllUwcuAVvcCAACygJiC68I925.jpg)
Take It Slow ft. Jaguar Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2015
Lyrics
Take It Slow ft. Jaguar - Zikki
...
TAKE IT SLOW LYRICS BY ZIKKI ft JAGUAR
Language: Swahili ...
....,................
Verse1
Mapenzi ni bahari, lisilo na mwisho,
mapenzi ni moto,
kwa roho na haichomi ,
nimempenda msichana ,wa kisonko,
nilimuona kwenye ndoto usiku ,
nikiwa ghetto ye huishi runda ,
kwetu ni dandora,
kunarushwa makombora,
na kumenjaa wakora
lakini je ye anakupenda,
najua we unampenda,
basi nenda polepole,
siku moja utampata,
(refrain)
mpenzi wangu never,
mpenzi wangu twende polepole
(take it slow,a single step by step)x2
Verse2
(anabonga tu kilami,na hapendi mama pima,
hapendi hizo madondo,anataka tu mapizza)x2
enda polepole bado unasaka (bado ninasaka),
chochote unataka,with time utapata
hakuna matatax3
enda polepole, bado ninasaka
(refrain)