
Amenena Mwenyewe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2007
Lyrics
Amenena Mwenyewe - Angela Chibalonza
...
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
ni ujumbe wa bwana
hallelujah
Kwa maisha ya daima
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
tazama
ishi Sasa
kumtazama Yesu
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
ni ujumbe wa wema
hallelujah
na we shika rafiki yangu
ni habari ya Raha
hallelujah
mwenye kuinena ni Mungu
tazama
tazama
ishi sasa
kumtazama Yesu
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
uzima wa daima
hallelujah
kwake yesu
utauona
ukimtazama tu
hallelujah
wokovu pekee Kwa bwana
tazama
ishi sasa
kumtazama Yesu
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama
amenena mwenyewe
hallelujah
utaishi ukitazama