![Simuachi ft. Maua Sama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/29/2f26e69883ac418baa0a583935661340_464_464.jpg)
Simuachi ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Simuachi ft. Maua Sama - Nay Wa Mitego
...
Maneno mnayosemaa hakuna jipya linaloniumiza rohoo
Mwisho wa reli kigoma anavyonidekeza mpka naomba poo
Yani kwake mi ni mpole kama sio mimi
Anajua kanipa nn
mi namgandaganda gandaganda nae ananipatiaa
Yani kwake mi ni mpole kama sio mimi
Anajua kanipa nn
mi namgandaganda gandaganda nae ananipatiaa
Waweke ukuta kwako nishaweka nukta
Umenikamata na siwez furukuta
Uvae kajeans baby uvae bukta bado unapendeza figa yako matata
Simwachi ng'oo
Simwachi ng'oo
Simwachi simwachi simwachi ng'oox2
Simwachi ng'oo
Nono no nono oooh
Sama
Oonh baba god amenipa rijali mwanaume amenipa
Kweli baba god hapa ametisha tukigombana kumwacha nasita
Navyonidekeza ntekenya mwenzenu macho nalegeza
Aii ayaa machela
Nijazie kibaba nawekeza
Ayiii eeeh ata jikoni nampelekea
Aah eeh nikimmiss ananitembezeaa
Kwanza chek zetu tunavyofanana
Atamkimwita malaya
Msidhani tutakuja kuachana huku kila siku sherehe
Waweke ukuta kwako nishaweka nukta
Umenikamata na siwez furukuta
Uvae kajeans baby uvae bukta bado unapendeza figa yako matata
Simwachi ng'oo (simwachi ng'oo)
Simwachi ng'oo. (Simwachi ng'oo)
Simwachi simwachi simwachi ng'oox2