WAR Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Huku east watoi wakona watoi sa unashindwa mtoi ni mgani
Hizi streets tunajipin na mandeng'a ju auezi jua andakava ni nani (huezi jua ni nani)
No future tunakuja kukill reason ni game haikucome na instructions
Nasema tumekam for war, blood & sweat lazma itawork out
Mi niko ready kubomb
(Bomb yote)
Nasema sai tuko war
(Tuko war, tuko war)
No future already kwa floor
(Chini kwa floor, chini kwa floor)
Kwa ground kama lion tuna roar
War
War
War
War
War
War
Kwa ground kama lion tuna roar
War
War
War
War
War
War
Kwa ground kama lion tuna roar
Rap game mi ni gifted ju nikipita lazma watanotice presence
Esto kuishi mistake hawa ma mbleina jo wanataka nizame
Nikiwa ma lap dreads ziko low brathe uezi ona adi macho
Ukinicheki na siste ako shifre usini mistake ni MVP na trophy yake
Crime pia ni mboka chunga hiyo hustle kuna triple XL atakudandia
Mchana akunase usiku akumade hio job si ya watu bandia
Akuna kitu rahisi kama kifo simple hio ndio njia sote tutapitia
Na tangu Beatrice aniwache na struggle ndio nisipotee njia
Ata ma tot za gin Chrome na meakins ndio si hulipukia
Kila siku furahiday party after party madem ni kutuzungushia
Sherehe na kelele adi ma mbleina wanatuitia afande
Akiona rende ni rong anasepa hatuogopi hizo glock bandia
(Bandia)
(Fake)
(Huh)
Mi niko ready kubomb
(Na-se-ma aje)
Nasema sai tuko war
No future already kwa floor
Kwa ground kama lion tuna roar
Huku east watoi wakona watoi sa unashindwa mtoi ni mgani
Huku streets tunajipin na mandeng'a ju auezi jua undercover ni nani
No future tunakuja kukill reason ni game haikucome na instructions
Nasema tumekam for war, blood & sweat lazma itawork out
War
War
War
War
War
War
Kwa ground kama lion tuna roar
War
War
War
War
War
War
Kwa ground kama lion tuna roar
No Future