
Tamani Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2007
Lyrics
Tamani - Amani
...
Nataka kuwa nawe (×2)
Amani, OGOPA DEEJAYS
Nakumbuka tukikaa kwa mtaa
Me and you baby boo zima mishumaa
Ku-pass time tukiongea
Hadi usiku na giza kuingia
Sasa miaka imepita
Na bado nakuhisi moyoni mwangu
Nimekumaindi toka zamani
Penzi lako laniwasha nilivyo
NINATAMANI KUWA NA WEWE
NINATAMANI TUWE MILELE
TAMANI, TAMANI
TAMANI, TAMANI
TAMANI, TAMANI
Nakumbuka ukisema ya kwamba
Utabaki na mimi hadi mwisho
Marafiki wasema nimechizi
Kila siku nakuwaza wewe
Sasa miaka imepita
Na bado nakuita honey baby
Nimekumaindi toka zamani
Penzi lako laniwasha nilivyo
NINATAMANI KUWA NA WEWE
NINATAMANI TUWE MILELE
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
NINATAMANI KUWA NA WEWE
NINATAMANI TUWE MILELE
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
Na kila tunapogombana
Wajua la kufanya ili nicheke
Wajua la kufanya ili nitulie
Ooooh baby
Na kila tunapogombana
Wajua la kufanya ili nicheke
Wajua la kufanya ili nitulie
Ooooh baby
Na kila tunapogombana
Wajua la kufanya ili nicheke
Wajua la kufanya ili nitulie
OOOOOH OOOOOH!!
Ninatamani kuwa na wewe
Ninatamani tuwe milele
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
Ninatamani kuwa na wewe
Ninatamani tuwe milele
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI
TAMANI TAMANI