![Mlima (Live)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/28/dfbeda22a3e0414c82a8e46f54622ffb_464_464.jpg)
Mlima (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mlima (Live) - Joel Lwaga
...
hakuna mlima usioweza kuuondoa
hakuna bonde usiloweza kusawazisha
hakuna jangwa usiloweza kulinyesheaa
hakuna Giza usiloweza kuliangaza *2
eeee yesuuuu eee *4
hakuna mlima usioweza kuuondoa
hakuna bonde usiloweza kusawazisha
hakuna jangwa usiloweza kulinyesheaa
hakuna Giza usiloweza kuliangaza *2
eeeee yesuuuuu eee *8
.................
jee Kuna neno, Kuna neno, Kuna nenoo usilooooliweza *4
hakuna neno gumu loloteee, hakuna jambo gumu lolotee *2
usilooooliweza *8
eeee yesuuuu eee*6
(instruments)...
eeee yesuuuu eee*8
(instruments)...
eeee yesuuuu eee*8
(instruments)...
eeee yesuuuu eee*8
(instruments)...
The end....