![Rangi Rangi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/16/e768d78748b340f3bd9d8df6d8f4dc83_464_464.jpg)
Rangi Rangi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Rangi Rangi - K2GA
...
Yaaaaaaap
Matam mapenzi matam
Raha zimeshamiri kama unavvyoona
Jamani matamu
Vitamu napewa vitamu usione nanawiri msione nanona napewa vitamu
Penzi lipambwe na uaridi nogesha na udi mambo mbaya
Mpenzi nikinge na baridi maana ikizidi hali mbayaaaa
Uuuuh uuuh
Mapenzi yetu ya RANGI RANGI Yanapendeza sana
Na kwako nimeweka kambi Aaaayaaah
Moyo unaushahidi mwandani wangu
Wee ndo my habibty furaha yangu
Moyo unaushahidi mwandani wangu
Wee ndo my habibty furaha yangu
Me kwake YEYE... I'm in LOVE
(Tunapendana)
Ringa ringa mama warushe roho
(tunapendana)
Mimi nayeye kuachana mwikoo
(tunapendana)
Ringa ringa mama warushe roho
(tunapendana)
............
..............
.......... . . ....
Kwenye mito milima nitavuka nae aaah.
Uwezo wa karima nitadumu nae aah
mmh
Kashika nyama na mfupa kaapa ntazikwa nae
Mapenzi ya raha kuchikuchi hotae
Na lake huba analonipa me sijaona kama yeye
Mapenzi ya raha
Couple yetu imenoga ipo ng'aring'ari
bila ndumba kuroga twaianza safari
Babe ulipo na me nipo
wee pipa me ndo mfuniko
tushakulaga kiapoo
kuachana me nawe mwiko
UUUH UUH UUU
Mapenzi yetu ya RANGI RANGI Yanapendeza sana
Na kwako nimeweka kambi aaayaah
Moyo unaushahidi mwandani wangu
Wee ndo my habibty furaha yangu
Moyo unaushahidi mwandani wangu
wee ndo my habibty furaha yangu
Me kwake yeye... I'm in LOVE
(Tunapendana )
Ringaringa mama warushe roho
(tunapendana)
Mimi na yeye kuachana mwiko
(tunapendana)
Ringaringa mama warushe roho
(tunapendana)
.......
......
......
Mo...mo...mo...
mocco genius...
(imagination sound ).
ALLY LIKUNGUALA