![POMBE](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/14/8b48dbe8400d4e0ab8b396098658ac69_464_464.jpg)
POMBE Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
oga ogah,, ,,on the track
ni pombe sisi tunapenda
ni pesa zetu tunaspend aah
wenye kanisa wanaenda
wanatujudge,wanatulenga
ni pombe si tunapenda
ni pesa zetu tunaspend aah
wenye kanisa wanaenda
wanatujudge,wanatulenga
wanasema tunachoma
tukilewa tuta,,,,,,.....
wanasema tutachomwa
ata binguni hatutaenda
na Bibi yangu me nampenda
watoto wangu nawapenda
madem zangu ,, ,oh sorry sina madem ni bibi tu
OK,mabeshte wangu nawapenda
mamorio wangu mabazenga
kwenye sherehe wanapenda pamoja pombe tu tunapenda
chorus
me sipendi kuhanya
Mimi sipendi kudanganya
Mimi sipendi kujifanya,ni pombe tu me napenda
sipendi kumanganga,sipendi kusengenyana,sipendi kuangaliana,ni pombe me napenda
Mimi sipendi uwii...zi
Mimi sipendi ufii.....si
me sipendi ata uchawi sa nikilewa nimekosea na....ni
mara ati nitalala ndani
Mara ati nitalala wapi
Mara ati nimekunywa ngapi...,,,,,
me si shida yako
ni pombe si tunapenda
ni pesa zetu tunaspend aah
wenye kanisa wanaenda
wanatugdge wanatulenga
ati wanatuona asubuhi wanaenda kanisa si tunaenda home kulala
wanatudge wanasema holy ghost fire
ati tutachomeka,kwan hao hawakua canaan,ni nan alifanya maji ikakua tei
aaahh,wacha sherehe ibambe bana we enda uombe,me niende nilale,unapenda kanisa na kanisa hhaikupendii,,,,....goodnight oooh sorry good morning,aii good day. oohhkk
DJ rudia hii ngoma ju pia we ni mlevi