![Ka Unaweza ft. Mejja](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/08/69ae3012f03d420dae38efeb190dcc97_464_464.jpeg)
Ka Unaweza ft. Mejja Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Aah
Ah
Kabaya
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Nipitie Majioni (later)
Na staki majirani wanione
Niko na matiki na kamini
Cologne incase nitablaze hadharani
Back left nikizoza na mbogi
Topdeck na nimejaza pori
Okay, Mbona unakaa lonely?
Shika tako na ucontrol slowly
Slowly, I know you know me
Wao hiniita kabaya one and only
Mbona umejifunga? toa koti
Pewa maji lakini sio Holy
Tiktok ah, tikitikitok ah
Ingiza weh wacha small talk (weka)
Big Bum utapenda backshot
Weh Vosti ebu ongeza shots
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Mi hukuwa nimekunoki
Nikifantasize weh ni mnaughty
Na hiyo tongue ring, njoti
Napenda hiyo tattoo kwa paja
Na ukipiga makofi na haga
Kam hivi nikupeleke warosho
Tuchome kishash kolombo
Dim lights tuingie vibe
Ah, nataka nikulambe shingo
Alafu, niteremke kwa kiuno
Nikulambe katikati ya mgongo
Ah Baby, no rush
Nikimaliza si utasplash (aaaah..)
splash (aaaah..)
splash (aaaah..)
Chafua bedsheet usiworry
Kesho nitazipeleka dobi
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Leo tunakesha, Pass me another
Ka Unaweza
Bestie Ongeza, Nika ni December
Ka Unaweza
Ka Unaweza