![Chali ft. Bochaberi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/77/00/rBEezl2cQxqAezdmAADeqEyOS28555.jpg)
Chali ft. Bochaberi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Chali ft. Bochaberi - Raj (KE)
...
Tuthie man!
Banana
It's the banana
Banana boy
Kuna machupa
Kuna wasuper
Nitawanyuka
Halellujah
Zimeraruka
Zitalipuka
Nataka dada
Mwenye mathutha
Pombe sinywi tena, Na hisi siko vema
Leo ninaona, N'tamteka msichana
Yule amejibeba, Kwa counter ameni lenga
Yule amejitenga, Kwa corner ameni bamba
Nawaza laku sema, Naona nita tenda
Naanza tu kuenda, Nikifika naanza me ku sema
Vipi honey, Unaeza densi nami,
Vipi honey, Unaeza cheza nami
Easy chali, Usini guse chali
Easy chali, Nina wangu chali
Vipi honey, Unaeza densi nami,
Vipi honey, Unaeza cheza nami
Easy chali, Usini guse chali
Easy chali, Nina wangu chali
Hali yako si shwari
Umelewa chakari
siji oni sukari, Ila nina wangu rijali
Fungua macho jamani
ulilewa zamani,
Ebu enda nyumbani
Anza safari
Pombe hunywi tena, Naona hauko vema
Leo hebu koma, Kuwateka wasichana
Yule amejibeba, Kwa counter ameku lenga
Me nimeji tenga, Kwa corner nina bwana
Huna la kusema
Tafadhali nenda
Sina la kusema
Tafadhali nenda
Vipi honey, Unaeza densi nami
Vipi honey, Unaeza cheza nami
Easy chali, Usini guse chali
Easy chali, Nina wangu chali
Vipi honey, Unaeza densi nami
Vipi honey, Unaeza cheza nami
Easy chali, Usini guse chali
Easy chali, Nina wangu chali