![Nitaimba](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/EB/rBEehl2a7GqAdzC9AACV4wdYwj0369.jpg)
Nitaimba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nitaimba - Rose Muhando
...
eeeeeeh x2
lalalala eeeeh lalalaa
wooo
eh Mungu wangu Mimi nitakushukuru
mbele ya mataifa Mimi nitaimba
Dunia nzima nayo itambue Hilo
kwamba jina la Yesu pekee ndilo
ulimwengu mzima uokolewe kwalo
asubuhi na mapema Mimi nitaimba
kabla ya kinywa kunena kwako nitaimba
tufa nijapo zidi kwako nitaimba
nijapo teswa kabisa kwako nitaimba
nijapo dharauliwa aa kwako nitaimba
Yesu x3 sikia ee kinanda
yesux3 amka ee kinumbi
inuka ee zumari imba Kwa sauti
wooox3 na utukunzwe Mungu
Yeeex3 Jehova Adonai
elgibo shalom Mungu unaitika
uniondolee majivuno komesha kiburi
utawale) aaakili zangu bwana niongoze, uifundiashe roho yangu habari za mbingu
sikizeni ee kizazi changu Mungu anaishi
nipe moyo wa nyama unapondeka
moyo ulo tulia na unyenyekevu
Mimi si kitu kwako ni m... tu
Mimi ni kama nanii uniinue
unifinyange bwana kama upendavyo
unifundishe bwana kama upendavyo
loi shikimu, Jira elshadai Jehova ...Elion Sharma Mungu unaitika
Jehova Saba Mungu utanijibu
(elgibo shalom Mungu unaitika x3)
Yesu x3 sikia ee kinanda
yesux3 amka ee kinumbi
inuka ee zumari imba Kwa sauti
wooox3 na utukunzwe Mungu
Yeeex3 Jehova Adonai
elgibo shalom Mungu unaitika