Naumia Roho Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Naumia Roho - Dullayo
...
Song title: NAUMIA ROHO wa DULLAYO
Intro; Naumia roho Aisee... Ahaaaa x2
Kiitikio
Naumia roho!
Natamani hata leo nikupate vipi wanizungusha
Naumia roho!
Natamani hata leo tuwe wote vipi wanizungusha. Ahaaa!!
Ndo mana siku nikikutana na wewe ( Naumia rohoo)
Verse I;
Naumia rohoooo! (x2)
Siwezi lala mpaka nimwombe Mungu
Akusaidie nawe ulale salama wewe
Usiependa majungu ebu nambie kama nipo pamoja na wewe
Maana silali nikasinzia mawazo juu yako
Maana silali nikasinzia mawazo juu yako wewe
Simu yako nikiwa siipati nawaza uko wapi!! naumia moyoo
Nikituma sms haifiki wana wanadiss !! naumia moyoo
Najua siku ntakufa ila bado sijajua ni lini hallow!!!
Ndio mana napata pressure nikikukosa duniani hallow!!
Hallow!!! Naumia moyoni
Kiitikio
Verse II
Nakua sober sober street napiga viroba
Simu ina mia mi niko tigo na yeye yuko voda
Namwita gal sweet honey lazizi wa moyo
Mtoto wa kimbulu sio mpogolo nami sio poyoyo
Yes am so happy nikiwa nae ndani ya sitasita
Nakuhitaji nashangaa ukinikunjia ndita
Usipagawe hata wazushi pale wanapokwita yeah!
Wazushi pale wanapokuita oyoooo!!
Jua nakupenda sio mpaka valentine day
Hey hey twende tukale bata Obey
Everyday mtoto kipedo mi kata-K
Kubali mtoto isiwe ni ndoto mnyamwezi nipande bei
Nikutoe lunch mixer biere nyama choma epe yai
Ukipandwa mzuka kitu cha mdadi na nyagi dry
Aiii ahahahahahh Dullaaaaayo
Kiitikio
Outro;
Naona raha naona furaha nikiwa niko na wewe
Naona raha naona furaha nikiwa niko na wewe x 4
Ohooh ohooh ohooh.. aah aah ye yeah
Tanzania It's your boy D-Timing aah!
Unafikiri mi nilikuwa namwimbia yule mtoto au?
hkee Makavu-live, burudani, mpango mzima.