Jinamizi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Jinamizi - East African Melody
...
Bora Sasa *3
Bora Sasa *2 Limeniondokea
Jinamizi ilo limeniondokea *4
Tulokuwa tukishindania (Yamekwisha)
Tulokuwa tukigombania (yamekwisha)
Nnae uyu wangu Sasa Raha zote kwake napata Wasiwasi sina natapa peke yangu mm natamba *2
Raha kwangu Hamna kutafuta, Nnadundanimeukata ,Mfuto ww nimekufuta
Nimeshinda bila ya Vita *2
Ulikoanza manobi, nilijua hutakwenda
Mungu kanifanya kheri, Mimi mbabe wa Sinema, Nipo najimwagamwaga
kwangu ww jinamizi Huwa jinamizi tu*2
Rlyics
Nilijua utabana, Mbona umeshabenua
Kwa marefu na mapana, Mimi ss natanua *2
Hufata kichwa Kobe, Wataka timing ww
Hunayo timing Wewe *2
Wazuaaaa wazuaaaaaaa *2
Chorus
Umevuna ulichokipanda (usilieeee)
Hiyo Ndio Faida ya ukudaa (Usilieee)*2
Uke Waenza kwako jemben,