Zoa Zoa Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Zoa Zoa - East African Melody
...
Umpati uyo, umpati uyo*4
utasota sana humpati huyo*2 *2
unitishi umedoda si wewe wa kunipiku,
bei Yako wewe soda chipsi na nusu kuku*2
kama kuuna la Ziada basi unapewa buku*2
wadisi utanishinda una bao zoazoa*2
upanga pangua, bandika bandua, nyakua nyakua si Kwa wangu Mimi, hujipelekesha , wajihangaisha, utajichokesha dada umechina.*2
dada umechina ooh dada umechina
dada umechina we dada umechina.
tuliza boli kiwanja kidogo, tuliza boli haya si madogo, tuliza boli mimi si kidogo, tuliza boli jingi kidogo.
uninya'nganyi ukanda, nimetulia walanda, unashuka nnapanda*2
upo moja nipo Kenda*2
jitangaze vikaoni, jitangaze harusini, mwishowe kichochoroni Kwa wangu humuoni ndani.
jitangaze gazetini, jitangaze redioni, mwishowe kichochoroni Kwa wangu humuoni ndani.
mke, mwanamke ndani umezoea kombaini*2
mi na we hatushindani unabao zoazoa *2
upanga pangua, bandika bandua, nyakua nyakua si Kwa wangu Mimi, hujipelekesha , wajihangaisha, utajichokesha dada umechina.*2
dada umechina ooh dada umechina
dada umechina we dada umechina.
tuliza boli kiwanja kidogo, tuliza boli haya si madogo, tuliza boli mimi si kidogo, tuliza boli jingi kidogo.
uninya'nganyi ukanda, nimetulia walanda, unashuka nnapanda*2
upo moja nipo Kenda*2
mekua kiruka njia pa kulala wapangia waume wawahaiya yoyote kwako sawia*2
huchagui wafyagia chizikoshen nyuma pia*2
wivu we hutonitia unabao zoazoa *2
upanga pangua, bandika bandua, nyakua nyakua si Kwa wangu Mimi, hujipelekesha , wajihangaisha, utajichokesha dada umechina.*2
dada umechina we dada umechina
dada umechina ooh dada umechina.
tuliza boli kiwanja kidogo, tuliza boli haya si madogo, tuliza boli mimi si kidogo, tuliza boli jingi kidogo.
uninya'nganyi ukanda, nimetulia walanda, unashuka nnapanda*2
upo moja nipo Kenda*2
washindana na zoleo wazoa zoa aah aah wazoa zoa aah aah wazoa zoa
washindana na kudege wazoa zoa aah aah wazoa zoa aah aah wazoa zoa
washindana na beleshi wazoa zoa aah aah wazoa zoa aah aah wazoa zoa
washindana na kipafu wazoa zoa aah aah wazoa zoa aah aah wazoa zoa
waheshimiwaa wataka wewe
wakurugenzii wataka wewe
muuzaji duka wamtaka wewe
muuza karangaa wamtaka wewe
kwako bora shilingi, bora shilingi, bora shilingi, bora shilingi*2
shilingi yang'ara yaua, shilingi yang'ara*2