![Kidawa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0C/AE/4E/rBEeNF2a5puAG56cAABuCQljlaI610.jpg)
Kidawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Mama aliniita kidawa
Kweli kwako nimekuwa dawa
Umwa nikuponyeshe lazizi
Umwa nikuuguze mpenzi
Wewe kwangu kama shampaign
Kwenye sherehe nikufungue wewe
Karibu kwangu kama mgeni
Ukae kwenye pango moyoni
Yoo
Kwako nimefika mwingine, mi simtaki mama
Malengo yangu kuwa nawe, mi nasema
Niko tayari kujifunza ma, staki feli na
Haijalishi mi wa kwanza situfike mbali (mbali)
Juu ya vikwazo kwenye penzi
Tulale njaa,labda mipango ya Mwenyezi
Mi ndo ntakuwa makini, juu ya penzi lako
Nitapigana kuhakikisha, naitunza hadhi yako
U-u unavyoshine napagawa mi mtu mzima ma
Colour unavyo-combine, unamelemeta ma
Designer gani kaku-design, you look shallow tina tina bey!
Ooh, you look shallow tina tina!
Sema lunch twende wapi? Mi nataka we u-enjoy
Ma baby ndani ya Versace, mnyamwezi Suit n' Tie
Kitandani ofisini kwangu, vile tuna Do Biz na wewe
mradi baby we upagawe
Mama aliniita kidawa
Kweli kwako nimekuwa dawa
Umwa nikuponyeshe lazizi
Nasema umwa nikutulize mpenzi
Wewe kwangu kama shampaign
Kwenye sherehe nikufungue wewe
Karibu kwangu kama mgeni
Kwenye pango moyoni
Mimi niite kidawa mama yoyoo-hoo
We kwangu ndo baba yoyoo-ooh!
Waacha ntulize moyo ooh!
Tusiogope vimbwanga vyao oo
Kama kupendwa napendwaga
Nimetuliaga nayo
Ndo sababu ilokufanya u-match na mie! Aah!
Yoo
Twende bafuni tukaoge, nikusafishe body yako
Taratibu tu kwa hisia, nikipapasa maungo yako
Raha mkipendana, nakupensa mpaka basi
Siogopi mapedeshee, mi kwako sina hata wasi
Woga siku zote hufeli, uoga kwangu sitauruhusu
Umejaliwa tabia nzuri, uko full siyo nusu nusu
Jambo jema tutafika tutakapo na
Ni raha watu wakisema "you guys make a good couple!"
Tushakula kiapo labda kifo kitutenge
Sio vijisenti bey, muulize Chenge
Bina twende wapi, mi nataka we u-enjoy
Ma baby ndani ya Versace, mnyamwezi Suit n Tie
Tabasamu ni fursa si kwetu mwiko kugombana
Furaha huleta amani ya nini kulumbana
Mapenzi tuishi sisi sio kuiga ama ku-beg love
Twende ufukweni tu-make love mida ya sunset
Mama aliniita kidawa
Kweli kwako nimekuwa dawa
Umwa nikuponyeshe lazizi
Umwa nikuuguze mpenzi
Wewe kwangu kama shampaign
Kwenye sherehe nikufungue wewe
Karibu kwangu kama mgeni
Ukae kwenye pango moyoni
Mimi niite kidawa mama yoyoo-hoo
We kwangu ndo baba yoyoo-ooh!
Waacha ntulize moyo ooh!
Tusiogope vimbwanga vyao oo
Kama kupendwa napendwaga
Nimetuliaga nayo
Ndo sababu ilokufanya u-match na mie! Aah!
--- www.LRCgenerator.com ---