Viumbe Wazito Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Viumbe Wazito - East African Melody
...
vile nilivyowathaminiiii
nikawawekeni usoniiii
kumbe wakosefu wa imani
hata hamna shukuraniiii
viumbe msochukulika viumbe wazito ×2
mmenikusudia nini enyi wenzangu mwenzenu kunihiriki
mwanitia ubayani si hulka yangu mjue sifedhehekiiiii
hamthamini hisani wala nguvu zanguuu
viumbeeee hamchukulikiiii
nimeijenga imaniiii thabiti moyo wanguuu kaaatuuuu sitotaharukiii
nnaamini hakika ipo siku itafika pumba mnazonipaka mja nita takasikaaa ×2
wala donge sitowekaaaa muamini nina nia njemaaaa kwenu nyie ×2
sijui niwaweke fungu ganiiii
viumbe muhesabikeee×2
yafaraja kwenu dhiki jema kwenu huwa bayaaa
wenzangu hamchukuliki hivyo ndivyo mlivyozoea×2
mnanifuja kwa watu msonafadhira eti nnaroho mbaya
mwanipia upatu kila mahala mbaya mimi mbaya
navumilia si kitu najua yenu hilaaa wenzanguuu mmezoea
muhukumu mola wetuuu naamini insha allah hukoooo utayatambua
wema wangu hauozi milele utabakia nifanyavyo roho razii kinyongo sitowawekeaaa ×2
fadhila mfadhili mbuziii binaadam anamaudhi kweli hiyo ×2
si huyu binadam kwamliyo nitendea ingawaje ni vigumu kwamja kuvumilia ×2
sitojonga uhasimuuuuuuu
moyo umenituliaaaaaaa
kitu hicho kwangu sumuuuuu
wala sitoupatiaaaaaa
nitawatendea wemaa mimi nnajali utuuuu
wala sitorudi nyumaaaa siwezi hilo kantuuuu ×2
nyie palilieni chukiiii ipo siku mtajuataaaa ×2
chorus
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,