![Wamungu Uwazi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/74/CA/rBEezl2a7t-AKV9TAACl6cFiwco672.jpg)
Wamungu Uwazi Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2017
Lyrics
Wamungu Uwazi - East African Melody
...
Mja ufiki popote ni bure chako kiburi dunia ni yetu sote ……x2
Jua wabaya si wotee wapo wato ni stirii x2
Ridhiki utoi wewe mja usitakabali x2………
Ukinisusia wewe sishituki moyo wang sishituki moyo wangu 🤣….nitapata mwenginewe atojali shida zangu atojali shida zangu ……. X2
Asama mimi na wewe sio kusudio langu…….. ukinibagua wewe anitupi mola wangu x2
Kama wewe ni mbaya na wema wako tele x2
Jua mlango wa mung uwaz kaufungua …kama ridhik ni yang uwez kuiondoa x2
Ufanyeje mlimwengu usie kua na haya …….. utamaliza mizungu la mola hutopangua x2
Madhali ni hai sina wasi waasi na ridhik yaanguu ….kwa mola ilahi najua siikosi nna langu funguu x2
Taji univui ili lisha lishapaangwa usijipe uchunguu …..choyo akifai na chuki biinaafsi ewe mlimwenguu x2
Ukiufunga wa kwako mlango jua wa mungu uwaazi x2
Umekaza uzi kunichonganisha kwa mashoga zanguu nalijua wazi linokukondesha ni bahat yaanguu x2
Unajipa kazi utoiondosha kudura ya munguu. Aya uyawezi wajiangaisha yawache majunguu x2
Sote wa kukadiliwa na mungu atujitoshi kwakitu x2
Atoae ni kahali kwamatam na machungu kwa matam na machungu ……usijipe ujabali kuvaa joho la mungu kuvaa joho la mungu x2
Aufai ujeuri ewe kiumbe mwenzangu ……..tuendako ni shubiri mwanandan letu fungu x2
Joho la mwenyez mungu mja likufae wapi x2
…………….. ………………………………………. ………….