![Kitochi](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/69/A5/rBEehl2W7NSAFuPqAACdiD0JIP0434.jpg)
Kitochi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kitochi - Bonge La Nyau
...
Mami love mami love
Mwanamke wa ndotto yangu
Unaishi kwenye akili yangu
Tafathali usinitie nyambu
Sina kitu ila we ndo ubavu wangu
Nipe mapenzi vitamin A mpaka Z
Nikutaje Mara nying kama pesa na chenji
Napenda unavo rotates Uko soft mama unanukia Fresh
Tabasamu kama la fetty
Come closer unipetipeti
Your ma girl no one
Moyo unadunda nakufata no one
Napenda unanukia perfume
Kwenye stress unanichum
Macho ya kusinzia kama umekula ndumu
Unaniliwaza majukumu tukazie humu humu inshaalah tufike maana vizur havidum
Embu Achana na vitochi ntakununulia smartphone baby
Na ulivyo baby face kila mara mi nitaku Pos t
Msitubane bane hayaingiliwi mapenzi wakipendana wawili wapenzi