
Arosto ft. Nikki wa Pili & Chin Bees Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Arosto ft. Nikki wa Pili - G Nako
...
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Uu uh arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Nikaanza peleka round kwanza
Nikamuendea kumuombea tenga mamaa
Nkamvuta chemba, tema cheche kadhaa
Kumuomba denda akaniambia "Tamaa
Mbona less, hata kujuana jamaa"
Nikaenda less sikushtuka kwamba
Labda huyu sio demu wa majina na material
Ni ngumu kumpa vina aingie interior
Mi huwaga OG, hujasikia "Original"?
Nataka nikumiliki sitaki kiki no!
Ou ou uh
Nakusakanya kila kona sikuoni
Napaperemba, uko wapi mamii?
Nakusakanya kila kona sikuoni
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Uu uh arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Kukushika ukanizungushia
Kukuomba namba ukanizungusha
Ukanambia "Why you worry, G?
Tupo wote mpaka kuna kucha"
Nkadhani yangu yote kumbe chaukucha
Unanirusha, rusha
Samaki nje ya maji umenivusha, vusha
Haukuniaga alamsiki, no!
Haukuniachia signal
Umeniacha tu na ala ya mziki oh
Nakaperemba, uko wapi mamii?
Nakusakanya kila kona sikuoni
Nakaperemba, uko wapi mamii?
Nakusakanya kila kona sikuoni
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, eh
Na hii arosto yangu, nani aniponye?
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Girl umeniwasha, girl umeniwasha
Girl umeniwasha eh
Uu uh arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Mama ma-ex wangu na uwa-diss
Maana ma-ex wangu wote walikuwa rahisi
Sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this
Sikujua mi sijui kutongoza like this, ah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kuwa ngekewa
Ni kuanza kuondokewa
Na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wake leo mtoto kapotea
Ah!
Uu uh arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh
Arosto, usiniache na arosto
Baby baby uh uh (arosto)
Translate to English
Cadbreezy