Mama ft. Ucho & Isha Mashauzi Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama ft. Ucho & Isha Mashauzi - Rj The Dj
...
Rj The Dj
All Day Baby!
(NMS)
Mama nipe radhi nipe radhi tuishi nawatokaji
Mama nipe usia, nipeusia niwe bora katika dunia
Wazuri ila wabaya wote wako duniani
Wajaa wenye roho mbaya wamesahau isani
ISSAI IBUNGU
Binaadamu wenzangu wananichukia Aaah, sina ubaya rohoni mwangu mungu ananishuhudia Ooh!
Binaadamu wenzangu wananichukia mama!
Sina ubaya rohoni mwangu mungu ananishuhudia Oooh!
Mama nipe radhidhi binadamu hawana wema
kila nifanyalo bora, hawaachi kunisema
Hawajui hivi nilivyo ni kwa rekhema zake maanani
Wanataka niwe watakavyo hata kwa nguna haiwezekani!
Ukikosa radhi ya mama (utachekwa duniani)
Ukikosa radhi ya mama (utachekwa duniani)
Mimi siataki hayo ndo maana wangu namthani
Mimi siataki hayo maana wangu namthani
Namshukuru mama, kwaalivyo nilea
Nazibeba lawama kweli ndio waduania Aahh!
Mimi namshurkuru mollah kwa alicho nitunukia
Kweli kanipa mama katika hii dunia
#Chiii..!
Anamahepe huyo
mwenzenu, ana mahepe huyo, (mchekeni)
Anamahepe huyo
mwenzenu, ana mahepe huyo, (mchekeni)
kakosa radhi ya mama huyo, mwenzenu ana mahepe huyo, (mchekeni)
Ana mahepe huyo huyo, anamahepe huyo, (mchekeni)
Anamahepe huyo
mwenzenu, ana mahepe huyo, (mchekeni)
Anayo mahepe huyo, jama ana mahepe huyo (mchekeni)
Alele, Alele, Alele, (Chiii..!) Alele, Alele, Stuwaah!
(Aweee manager abuu)
Alele, Alele, Alele, Alele, Alele, Stuwaah!
Utanibeba leo, umekunywa beer zangu
We utanibeba leo, umekula pesa zangu
Utanibaba leo, umekunywa beer zangu
We utanibeba leo, umekula pesa zangu
Alele, Alele, Alele, Alele, Alele, Stuwaahh!!
Alele, Alele, Alele, Alele, Alele, Stuwaah!!
Ukitaka kujua huondo wa unga, (uingie uhuchezee)
Unkitaka kujua utamu wa asali, (huiweke kiganjani)
Ukitaka kujua ugomvi wamlevi, (kaimwage pombe yake)
Yani nilipo mashetani mwa.. (ana mashetani wee)
Mimi hapa nilipo mashetani mama e, (Anamashetani wee)
Mimi hapa nilipo mashetani mwali, (Anamashetani wee)
Hata namimi nina mashetani eh, (ana mashetani weee)
Hata na yule ana mashetani (Ana mashetani)
Rj.. Ana mashetani Weeh, (ana mashetani weee)
(Queen Of The Best Melodies, Gike La Simba)
Aaahhhh!!!
No one is come to compare with me.
Heheheheih
Ucho Kuna kitu ndani yako
Awesome baiby! Heheheheih
(NMS)