
UMENIWEZA Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
UMENIWEZA - SIZ OG
...
1:Moyoni mwangu nimekueka nikatosheka wee,
Nikikukosa naweweseka maana umenisha mii,
Nikikosa niadhibu nichape kwamitindo nipagawe,
Tena uniweke karibu mpaka milele nife nawe,
Moyoni nakuweka ,moyoni nakuweka beiby ,
walai umeniteka,walai umeteka beiby
Napenda ukinidekeza tukiwa wote nafeel alright
Na unavyonibembeleza,unavyotabaaasamu
Qrus:umeniteka,(umeniweza aah×3)
nahisi umeniteka(umeniweza aah×3)
umeniweza (umeniweza aah×3) .
nahisi umeniweza(umeniweza aah×3)
2:Boy child mimi nakupenda ,nikiwa nawe moyo wangu hutulia
Nataka milele niwe nawe,kwani kwako penzi lishanoga
Ukinikiss kwenye lips,kiss yako tamu kama keki ya vanilla
Nikiwa nawe beibe wanifanya mi nachizi najilegeza
Songea karibu nikupe mapenzi ya kilooo oooh
Kuchkuch hothae mi amore my love tekero oooh (beibyyyyy)
Napenda ukinidekeza tukiwa wote nafeel alright
Na unavyonibembeleza unavyotabasamu .
(back to bridge^)^
produced by tokal beat
monster records
written by me (francy ke)