MY JABER (PARODY) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
MY JABER (PARODY) - Dogo Charlie
...
my jaber unanyetanyeta,nimefanya nini mbona unateta
aai nyako unapenda kunitesa,ukikunywa guenis unanitetesa
(sijui nidoh nini ,woooye nidoh nini
sijui nidoh nini unanyetanyeta )*2tufuge paka na dogi watoto hutaki kunipa hutaki kula githeri nataka pizza na burger sijui sijui nidoh nini unanitesa kikweli
sijui sijui nidoh nini utaniua jamani nimekosa nini mama usinipige na mwiko
hio mwiko ikivunjika tutapika na nini
sijui sijui nidoh nini unanitesa kikweli
sijui sijui nidoh nini utaniua jamani nyako
my jaber unanyetanyeta nimefanya nini mbona unateta aai nyako unapenda kunitesa ukikunywa guenis unanitetesa
(sijui nidoh nini woooye nidoh nini
sijui nidoh nini unanyetanyeta)*2
zacharia kuja unione
nini tena
naumia kichwa na mgongo
kwani nini imefanyika tena
bibi amenitandika anataka kuninyonga kila siku ni vituko naoshanja hata maviombo ,nitumie fare mi ni kuje mimi niliangukia bibi wa ukambani too much is too much mi nahepa tonightmimi nimekaliwa heri nijikate baby
my jaber unanyetanyeta nimefanya nini mbona unateta, aai nyako unapenda kunitesa ukikunywa guenis unanitetesa (sijui nidoh nini woooye nidoh nini
sijui nidoh nini unanyetanyeta)*2 (nisamee unisamee)*3 unanyetanyeta (nisemee unisamee)*3 unanyetanyeta
(nisamee unisamee)*3 unanyetanyeta