
Taarab Mshayasema kimeniathiri nini Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Taarab Mshayasema kimeniathiri nini - Saada Nassor
...
mshasema kimeniathiri nini ya wanadam mengine nipunguzieni
hayanipi shida maneno ya wahafidhina Niko fit order wenyewe si mnaona hayanipi shida maneno ya watu fitina nipo fit order anaenilinda subhana
hayanipi shida maneno ya wahafidhina Niko fit order si wenyewe mnaona hayanipi shida maneno ya watu fitina nipo fit order anaenilinda subhana
yasemeni kwa udhati kusingiziwa sitaki aaah semeni yanayowahusu msiyajaze masusu
yasemeni kwa udhati kusingiziwa sitaki aaah semeni yanayowahusu msiyajaze masusu
nawatambua mnachooyo nami mnachooyo ilo inawasumbuaaa
nakujueni mna doonge nami mna doonge inawasumbuaaa
nawatambua mnachooyo nami mnachooyo ilo inawasumbuaaa
nakujueni mna doonge nami mna doonge inawasumbuaaa
ya kupwa na ya kujaa semeeeni ohooo uwanja mpana nafasi kwenu huria zoeeeni ohooo ya kila fitina......
ya kupwa na ya kujaa semeeeni ohooo uwanja mpana nafasi kwenu huria zoeeeni ohooo ya kila fitina......
katu sitowashangaaa kwenu Cha ajabu Sina sababu naijua ya kunisengenya saaana..
katu sitowashangaaa kwenu Cha ajabu Sina sababu naijua ya kunisengenya saaana..
mlilonikusudia poaaaaa kuniharibia jina poaaaaaaaaaa dhidini kunizodoa sawaaaa kunipaka yaso maaana saaaaa
oohooooo mlilonikusudia poaaaaa kuniharibia jina poaaaaaaaaaa ohoooo dhidini kunizodoa sawaaaa kunipaka yaso maaana saaaaa
nyuma nachorudia namuogopa rahmana siivyo mngenitambua chamoto tungekionaa,,,,
ahaaaa nyuma nachorudia namuogopa sub hana siivyo mngenitambua wallahi tungekwaana....
ohooooo mloyasema mshayasema kimeniathiri niiiiini..
mloyazua mshayazua Sina ya kovu mwiliiiniiiiii.
Bure mkinichulia kimya nawatazameniiii
hamuwezi nipangulia alichopanga maaananii........
mkikaaa kuyazushaa wallahi yachunguzenii
msitake kujikosha kWamba hamuonekaniii..
ohoooo mkikaaa kuyazushaa wallahi yachunguzenii
msitake kujikosha kWamba hamuonekaniii
katika haya maisha alomswafi ni naniii kubwa alie aliyekwisha Yuko swafi dunianiii
ahhaaaaaa katika haya maisha alomswafi ni naniii kubwa alie aliyekwisha Yuko swafi dunianiii
ohooo ayo mlonivumika ayajaniathiri kwani na roho nimeishusha ya kunidhofisha niniii
mola Yuko anatosha ndie namuaminii
yote atarekebisha itafika subiriniii
ohoooo mooola
mola Yuko anatosha ndie namuaminii
yooote yote atarekebisha itafika subiriniii
kwenu la ubaya na mnirushie mie na kila la ufisadi mnifisadi miee
kwenu la ubaya na mnirushie mie na kila la ufisadi mnifisadi miee
kwangu kila la uchafu Nia lenu niwe miee kila mlilonalo nipakazieni mieee
kwangu kila la uchafu Nia lenu niwe miee kila mlilonalo nipakazieni mieee
sishughuliki sibabaiki siwaogopi kama mtakavyo nyieee
sikashifiki sihadhiriki na siumbuki mola atanilinda mieee
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukane kila matusiii
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukaneeeeeee kila matusiii
na kila muyaonayo ya duniani mnaropokaaa mnaropokaaa
na kila muyaonayo ya duniani mnaropokaaa mnaropokaaa
ananeniruzuku mungu anaenihifadhi munguuu anaenihenzi munguuu
sio nyie madomo kaya amnitii tumbo joooto tumbo joooto tumbo joooto
sio nyie madomo kaya amnitii tumbo joooto tumbo joooto tumbo joooto
Bure mnanitafiti kwa husda zenu wenzangu mie siwafati fati nawashangaa wenzangu icho kinachowacost ameniruzuku mungu
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukane kila matusiii
chongeni msihofu iwe Siri au bayana mjipange kwa swafu kwa usiku na mchana hali yangu hai dhwafu bado nanawili sana
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukane kila matusiii
kunipa nisionayo yote nayavumilia siutupi muda huo kubwa nawapotezea na mseme musemayo mbona nishayazoea
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukane kila matusiii
nataka mseeemeee kila manenooo
nataka mtukane kila matusiii
twins baby rama waziri
zahoro ally besiii nataka mseeeme kiiiila maneno eeeeeeehh heeeee nataka mupakaze
hakuna kubwa lisilo na mwisho baba vumiliaaa
mc duuu watasema watanyamaza baba hasidi huwa Hana sababu eeenhee
akuna la historia historia IPO makumbusho
anhaaaaaaa onhoooooooooo
onhoooooooooo anhaaaaaaa
onhoooooooo anhaaaaaaaaa
hakuna kubwa katika dunia yote ya kawaida baba
vumiliaaa yote yatakwisha
walikuwepo enhee wako wapi babaa
watamtafuta alotia chumvi bahari yote marejeo tu haya