
Kuja Kwa Party ft. Y9a Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wanadai kuja kwangu misijal
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wandai Kuja kwangu misijali
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali
Niko kwenye party kwenya meza ni makali
Other gender kunicheki my demeanour ni ustadi
Na wamada ha wasupa kama vile Omar Lali
Importation toka coasto wote wametoka Pwani
Wakikuja hii Nairobi kunicheki shida gani?
Wote nawaonyesha vile mimi nimetoka mbali
Ile session was a four some wanamwaga hadharani
Wakujua ntawakimbisha ka gari ya safa rally
Hakukua na shida any sikucheki wapi
Haters wako kwa ifani wengi ligi hawachapi
To the ladies me ni mzazi, wananii-iita "Papi"
I'm their daddy I'm their daddy nawanunuliiia nappy
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wandai Kuja kwangu misijali
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wandai Kuja kwangu misijali
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali
Samahani
Kama nyimbo za zamani
Nilikuja nimepata Nia
Walali nimetoka mbali
Kwenye njia
Ulinipata kwenye ndai
Na safiri kwenye Mali
Hunioni even if I'm near
Mi husonga na mistari
Me hukuja na silahi
Hunipati mi SI DAI
Kama gari mi hu drive
Kwenye Mali mi SI mind
Nilipata keys I drive
In the end I had to realize everything is in my mind
All these powers I had to make them come alive
Yeah yeah
Ukakuwa unaninjua
Vile natambua
Ulikuwa unaninjua
Vile nilianguka
Ulikuja ukanchukua
Kaa unazunguka
Nikakuja nikatua
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wanadai kuja kwangu misijal
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Me hukuja tu kwa party
Nikichapa tu makali
Hawa madame wanasema wandai Kuja kwangu misijali
Vile nilipata Mali
Walidhani mi ndio Chali