goodmorning Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
goodmorning - danny bandezu
...
Goodmorning….
Ni siku nyingine njemaaaa
moyoniii…….
Anza upya na Mungu.
Mwako Sikioni…….
Ruhusu habari njema
Machoni…..
Ione nuru ya Mungu.
Goodmorning….
Ni siku nyingine njemaaaa
moyoniii…….
Anza upya na Mungu.
Mwako Sikioni…….
Ruhusu habari njema
Machoni…..
Ione nuru ya Mungu.
Maisha ya mwanadam duniani, anayajua Mungu,
Hukuomba uje duniani, naona unaaavyo shangaaa.
Pengine hujui (HUJUI) kusudi la kuumbwa kwako
Kunako maisha magumu – TATIZO sio wazaziiii

Pesa magari majumba , sio dawa ya amani,
Upite vidato chuo kikuuu…ona bado haitoshi.
Ni wakati wa kumuomba Mungu akupe Ramaniiii,
Ujue kusudi kuwepo hapa duniani…………

inuka inuka inuka......inuka uangaze
ni nuru ni nuru ni nuru.....nuru imekujaaa
sahau sahau sahau...maumivu ya jana
chukua chukua chukua...hatua nyingine