Umenikosea ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Umenikosea ft. Kayumba - Bonge La Nyau
...
Umenikosea..
............
.........
..........
wowowoww
Umenikosea....
Hisia zangu zilikuwa sawa
Akili yangu ilikuwa power
kwa maradhi yangu ulikuwa dawa
Umenicholesha mbele ya ndugu yangu
hii si sawa
Washikaji walinambia we kicheche nkakataa (nkakataa)
kumbe una maseke yamekujaa
wanakudandia mabishoo na mapapaa
Ukienda kwenye gest kwenye baa
ubinadamu kazi binadam shazi
Mpende akupendae uepuke maradhi
najuta kuwa nae (mambo mengi yamenikuta)
kuwa nae ( sitaki sitaki sitaki...)
najuta kufika nae(pisi moja mabwana tisa)