![Hakuna Kama Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/ba434e676cb645c29a827ce1cb4c2013_464_464.jpg)
Hakuna Kama Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hakuna Kama Wewe - Suzzette Muthoni
...
hakuna kama wewe yesu
hakuna kama wewe
muweza yote mwenye nguvu haufananishwi kamwe
hakuna kama wewe
unatawala mbinguni na duniani yesu
hakuna kama wewe
wewe ni yule Jana leo na milele
uliwalisha maelfu ya watu wakala na wakasaza uweza wako yesu ni WA ajabu
uliyetuliza dhoruba baharini,ukatembea juu ya maji tukufananishe na nani bwana
hakuna kama wewe yesu
hakuna kama wewe
muweza yote mwenye nguvu haufananishwi kamwe
hakuna kama wewe
umeuhifadhi uhai wangu na ukaulinda wokovu wangu,ukanishindia majaribu ya dunia hii
ni wewe wastahili bwana kupokea heshima zote,kando yako hakuna kama wewe
baba hakuna kama wewe eeeh
hakuna kama wewe
jehova nisi elshadai,mfalme wa wafalme
hakuna kama wewe
umetukuka bwana, unatawala milele yesu
hakuna kama wewe
hata laana zavunjika,na mapepo yatoroka kwa jina lako
hakuna kama wewe
lyrics by kakai Collins-0758154865