Bandana Ya E-Sir ft. NellyTheGoon x Dmore x Trio Mio x Habib Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Bandana Ya E-Sir ft. NellyTheGoon x Dmore x Trio Mio x Habib - Nameless (KE)
...
Bak bandika, bak bandua
Aste aste ka jegi inamature
Tamu halua kakinipa mi naua
Meza mate au uteme na mapua
Kukuruku amka kumekucha
Boots ni luku na hukatangi makucha
Rupurupu kwa wale kuninusha
Goons mandugu manduku kuungusha
Veteve, veteran
Kama veve naveveta
Nina racket ya federa
Na sisongi na federa
Hasta la vista naendea your sister
Namkutanisha style za Batista
Na Monalisa ni dem wa Garissa
Nakwata misa niko sa kanisa
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir eh, fresh ka Bandana ya Esir
Nikiwa high school nilikuwa naitwa Apudo
John Doe sa ya physo niko Ludo
Saa moja ni saa ya kupitisha burungo
first body ndo alinifundisha makumbo
nikiwa sixteen mfuko gode sixteen
seventeen niko matings ndani ya eighteen
eighteen nlikuwa nadaisha niko nineteen
nineteen kila time ni 4-20
4-20, 420 years
na bado nimestand ka cross ya kanisa
bado fresh kama bbandana a Esir
wananitambua sihitaji visa
niko real nimechill sina speedy
niko zone A born siko greedy
Motif, ebu nijenge wajue the real meaning of Mathenge
vete veteran
na wasikudanganye coz am still the one
vetee veteran na wasikudanganye coz am still the one
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
hii ni ya madada kila club
wakiruka kama panzi
lyrics za Habib zawainua kama chupa ya Bacardi
wachungu ka limau lakini watamu ka sukari, Alhamdulilahi
hii ni ya madada wenye midomo nyekundu kama mabuyu
nataka kuwapiga busu
niwaambie vile nawapenda ni kama nyinyi ni ndugu
na Esir alinionya ju ya mamanzi kama nyinyi
kama hatuna hatuli
ukinipa sishibi ninaruka vikingi
ukinipa ulimi
mi husahau bibi
kukupigania sishindwi
vile mama wewe huringi ndio nakutaka zaidi, Ah
fresh kama
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Genge South C naogopa
genje nikisaniff naomoka
sembe kila siku niko mboka
wembe ka J.J Okocha
si ndo wale huvuta tire ndani ya chopper
si ndo wale huingia piri na mapicha
si ndo wale tukiomoka huenda ocha
si ndo wale huficha kidi ndani ya toja
natesa ka Murage aakiwa KEMSA
nadai dem mgaza kama Petrah
mi ni lion nasorora tu mazebra
nawatibu kama panadol extra
Hayaa bandana ya Esir
niko fresh ka bandana ya Esir
mko pressed mnang'ang'ania maisha
ndo sikuangi impressed
mkidanganya kwa insta
naogopa two things
sauti ya shootings
ngoko ana mood swings
juu they confuse me
mlinitrendisha kwa twitter for like two weeks
mi sahio niko daro nawaandikia my new hit
mafala kabisa,
nimekam na change
kama makanga wa nissan
mistari fresh ka
Bandana ya Esir
(fresh ka) bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir