![Zodoa](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/27/F2/rBEezl1NN5GAQASEAACll_FM8Do705.jpg)
Zodoa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Zodoa - Barnaba
...
Abbah you make my day
This is Barnaba boy classic
(Abbah)
Na...
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!
Sifa ya mwanaume kutunza
Mwanamke ni wanja
Mwanamke anapigwa na kanga kaka
Msingi wa nyumba kiwanja
Kuku hachinjwi na panga
Mume hawezi kuwa danga dada
Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu
Kimbau mbau ana shepu
Hajui kubusu
Vinate uvinyonge
Hawatapiriki
Hata ukiwa ukweli
Wao wanafeki
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!
Eeh, dunia ya sasa ina mambo, ina mambo
Kwako mpya kwa mwenzako kitambo, kitambo
Nabadilisha kwa kutwa kama fulana
Si wanaume, kumbe mpaka wasichana
Kuna mambo, ebo!
Awe mnene mwembamba, mweusi inahusu
Kimbau mbau ana shepu
Hajui kubusu
Vinate uvinyonge
Hawatapiriki
Hata ukiwa ukweli
Wao wanafeki
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!
Nawe zodo zodo, zodo zodoa leo
Ni macho kodo, mmekodoa!