![Ni Wewe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/26/982caf2bd3fb4b7fb1bc2cc9c8a65f96_464_464.jpg)
Ni Wewe Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Ni Wewe - K2GA
...
yangu nilipokupata sijawahi kujutia na mapenzi unayo nipa sitaki kukwachaa hujawahi nikosea na nafsi umeikongaa mie kwako nimenata sitaki bandukaa ooooh (unanipa raha ni wewe2)
(unanijali hujawahi nikera)
(unani pendaa mie napagawa)
(unae nipa raha ni wewe)
(unanipa rahaaaa 3)
Ni wewe wewe nilie kungojea
Ni wewe wewe nilie kusubiria
Ni wewe wewe mola amenipatia
Ni wewe wewe raha unan patia
Tugaaa ntapuliza tarumbeta ili upate kujua kwamba nimepataa yule nlomgojea
Na kwanza hana pupaa Ndo kwanza umeniteka Anani bembeleza jamani raha anan patia kama zawadi ni mtoto yallah ndivo alivo sema hayaa kwake nimezama kichwani ameni tawala aaaah
(unanipa raha ni wewe 2)
(unanijali hujawahi nikera unanipenda mie napagawa)
(unae nipa raha ni we wewe 2)
(unanipa rahaa 3)
Ni wewe wewee nilie kungojea
Ni wewe wewee nilie kusubiria
Ni wewe wewee mola amenipatia
Ni wewe wewee raha unani patiaa
kama zawadi ni mtoto ndivo ulivo semaa kwake nimezama kichwani ametawalaaa