![Tena](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/10/4cc0c309b9984d529002d5d3dee11a3c_464_464.jpg)
Tena Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Tena - Guardian Angel
...
Intero
kuna vile Mungu akitaka kufanya jambo na wewe
ni lazima akufunze ee
kuna vile Mungu akitaka kufanya kazi na wewe ni lazima akufunze eee
Moyo wa binadamu ni mndanganyifu sana
ila Mungu ni wa kweli eee
Darasa la Mungu
chungu kwa binadamu ila mwisho utukufu ee
najua nikwa muda tenaa
utainuka tenaa
utatembeaaa tenaa ni wakati wako
najua nikwa muda tenaa
utainuka tenaa
utatembeaaa tenaa ni wakati wako
misukosuko safarini
isikuvunje moyo
ni darasa unapita utashinda
hata mawimbi baharini
isikatize safari yako
atatuliza dhorubaaa yee ee
mwamini juu aliye anza na wewe ni mwaminifu kumalizia ee oo
ni funzo tuu
ni darsa unapitia
asubuhi ya karibia ee
tena na tena na tena
tena
utainuka tena
utatembee tena
ni wakati wako
tena na tena na tena
tena
utainuka tena
utatembee tena
ni wakati wako
tena na tena na tena
tena
utainuka tena
utatembee tena
ni wakati wako
tena na tena na tena
tena
utainuka tena
utatembee tena
ni wakati wako
najua nikwa muda tena
utainuka tena
utatembea tena
ni wakati wako tena
najua nikwa muda tena
utainuka tena
utatembea tena
ni wakati wako tena