Magizani ft. Breeder LW Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Magizani ft. Breeder LW - Maandy
...
yeah (I want you to leave.....)
yeah yeah yeah
mmmmmm mmmmmh
kuna vitu nadai kusema( kusema)
kuna vile unanimaliza nashaangaaa
umeweza nataka kuonja ukishaa
tuma iyo text nafurahia
miguu hewani napepeea
........ukinikaribia zile vitu zote naeza kufanyia
hawa madem nawashinia
kama nganya ukiweza wee dandia
chocolate skin napendeza
ukitaka wee rudia
nimechoka kungoja baby wee pitia
baby nakulike basi(me nakulike)
ukuje fika
ivi kejani(kejani) pitia magizani
nakulike kisiri(me nakulike)
ukuje fika (eeeeh)
ivi kejani (oooooh) pitia (BAZENGA)magizani
I'm up pull nikidrip ka samaki boo
juu najua man fresh like the morning dew
awa wasupa wao unidai nitachorea juu
weee ni bad gal oriji ile sampuli true
one gal do me ting me no diamond
nakuchapa wid de ting unayawn for more
lo love ukinitease kwenye cellular
me nitafika one time ka ambulance
msupa kairetu na anatabia za ki carribean
on your knees when you chocking
usiendeee mbali karibia
me no want long talking action mi me deal with
ka si vodo basi whisky
roll up kiriffa
pigwa stroke za miujizaa
adi ufike grao namba tisa(mmmm)
nakulike basi(me nakulike)
ukuje fika
ivi kejani(kejani) pitia magizani
nakulike kisiri(me nakulike)
ukuje fika
ivi kejani(kejani) pitia magizani
baby usinilengee(SIEZI)
tena usichelewe(I'M PULL UP)
nataka tu wewe(BAZENGA)
bila kelele(EEEH)
nakulike basi
ukuje fika ivi kejani pitia magizani
nakulike basi
ukuje fika ivi kejani pitia
pitia pitia pitia pitia
pitia pitia pitia
pitia
pitia pitia
pitia magizani