![Sheshe](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/06/9bf259b2faa84caa81129cddf46ca70a_464_464.jpg)
Sheshe Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2021
Lyrics
Sheshe - Parroty
...
Sheshe Parroty
Intro
vunulu..
Umeharibu maneno
Once upon a tym Jesus aliturn water into wine juu ya Sherehe
Once upon a tym mapolisi walikua wanakulia curfew juu ya Sherehe
Wakenya na Sherehe
Tunapenda starehe
Tunapiga sheshe
Tunapiga sheshe ( ahh ahh)
Pombe si supu jameni
Pombe si supu jameni
Chorus
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
She she Sherehe
She she shemeji
Wewe
Kuja na mbwenyenye
Mbwe mbwe mbwenyenye
Verse 2
Excuse me, excuse me
Can I tell you something
Can I tell you something
Huyu ni shemeji na amekuja na mbwenyenye
We kalisha tako na upunguze kelele
Punguza Nye, Punguza nyege
Sura ni planyo na bado kimbelembele
Tuki sip sip heàdy zinaspin spin
Msupa nae akijipa akule stick
Bakora itakutosheleza refreshment
Chorus
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
She she Sherehe
She she shemeji
Wewe
Kuja na mbwenyenye
Mbwe mbwe mbwenyenye
Verse 3
Tunapiga sheshe
Tunapiga sheshe
Aahh ahh
Pombe si supu jameni ( sip sip)
Pombe si supu jameni ( Wee kunywa! )
Tuna sip sip heàdy Zikispin spin ( ah ah )
Msupa nae akule stick stick (wewe )
Wacha akule stick stick ( twa twa )
Aki vunulu wewe
Just stop it, Ni uchungu (we legeza)
Usifinye ndani Sana ( we legeza)
Ntakusema
Usifinye ndani Sana ( nakatembeza)
Lakini wewe ni shemeji ( we kwenda uko wewe)
Chorus
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
Si mbwebwe ni she she
She she Sherehe
She she shemeji
Wewe
Kuja na mbwenyenye
Mbwe mbwe mbwenyenye