![Upendo ft. Zuchu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/11/0c7dcc5aa7c94668808f2fc5d0d00a82.jpg)
Upendo ft. Zuchu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Upendo ft. Zuchu - Spice Diana
...
Leleeee leleeee
leeleee ...leleeee
Leleeee ...leleee
leeleee ...leleeee
Diana
umepata mabinti lakini mi napiga kama kush
Mi nashika ma boys wa kampala wote Nikawa crush
jina langu ni diana ,nimekuona toka jana ,sasa pa tumekutana kilakitu baby we are gona...
(upendooo ,upendooo !
upendo sio maji huu nipendo) x2
Mapenzi Mapenzi yamenizidi kwa kichwa mi mwenzenu siwezi .
Zuchu
mapenzi mapenzi yamenizidi kwakichwa tena siwezi ...
akinipa karoti naidandia naikula kavu kavu namisamba soti ,umanulia aichane mpaka nyavu ..
To the left ,kulia (kulia) atakacho mie sawia (sawia), kama kasheti bagia (bagia),chachandu hunimwagia ...
Baby Mwagala Nyo ,Mwagala nyo mwagala nyo baby ..mukwano kula wenzako kula mwezako kulano baby ..
[upendo (Aiyyo mamaa ) upendo (vimeumana) upendooo ..sio maji huu ni upendo (naona rahaa) ]
x2
Ayaa sasaa ...Eeeee
Amenitachi tachi hoooo (amenigusa gusa ),vya juu ,vya chinii ,vya nje ,vya kati pia (amenigusa gusa .)
Amenitachi tachi hoooo (amenigusa gusa) kwatakwata tekehoyagala...
By Rashid ,from zanzibar Pemba Tanzania