![Glock](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/25/c1a328f7c2ae46a88afe4a23c1640c58.jpg)
Glock Lyrics
- Genre:Techno
- Year of Release:2019
Lyrics
Glock - Sewersydaa
...
rong rende
yo yo yo
ro ro
wakadinali
hzo pills nazo zimekua bitter kuswallow patient wa liver alikua customer wa alcohol
licha beste y Richard n msee ana prefer Alvaro
squad ndani y kinjo tuko fly kama pilot
ring the alarm usiposkia raise the flag but chapa biz Haram alfu akaraise alarm wewe n best rapper ju pia una best rappers ka nikuangusha sana nitadrop shule
class one class two ashakua crookhead hawajui fam hawajui goon n hata hawajui mtume
it's too late warn your roommate before kanuke
keep your two sense hizi ends hatudai mtupe
wwe uko screwnded so ni poa tukupe stupid
new pet sisi ndo new leaf usitukunje
ni rong rende tupewe tuvuruge
tukushow usikuje ni kama CID waliona vuke
ilibidi nitumie Glock bro two lace z rifle ziliishia kwa rival no more being broke Lord naishi nikigamble eastlando labda fivo
watanidrop wakiniget kwa chuom
watanidrop wakiniget kwa chuom watanidrop wakiniget kwa chuom
watanidrop wakiniget kwa chuom
me niko hapa ka broker
ndo nisave tu your broke ass
get the beside donga ganji mnachezwa na rose time
marithe huko low class ndo reason hta court hatukai
me hufeel dingo anakosa in a corpse sahii
my bro pereka,
kiekei na seska,
jiekee kwa keja ka ni mzito kubeba
hii ni smith and Wesson
ndo imefurisha westback huko station waiyaki way tunangoja mboka westlands ni ma auto so hapa hakuna kuchoma ithaa
saa ya two one one ndo trigger si ndo ku announce
sister anyang' nyong' anaeza fanya ukazozwe ithaa
ama river bank utolewe kwa dinga ulazwe flat
hizi vitu hazina mwisho ka una mission
unaeza pata makaa ukose jiko
hizi vitu hazina mwisho ka una mission
unaeza pata makaa ukose jiko
ilibidi nitumie Glock bro two lace z rifle ziliishia kwa rival no more being broke Lord naishi nikigamble eastlando labda fivo
watanidrop wakiniget kwa chuom
watanidrop wakiniget kwa chuom watanidrop wakiniget kwa chuom
watanidrop wakiniget kwa chuom
usikue ka uta miss hope
ju me siwezi
labda ni tick blue na ni miss call ya rezi me ni cause tour Hawana clue ju Wana heal rebis
akiwa ma false dream walikua Wana rock heavy
watu wako reckless niaje hawamove ki reke
na kwa ditch na necklase na makasla bracelets
hao ni ma dead mate waambie tuko strap ma AK
machine gun kGC na pia tuta ben bend